Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna Wimbo aliimba Bizman kwenye album yake ya Nipe Muda kama sikosei. Moja ya nyimbo alizoimba ni Nipe Muda, Mabinti wa kibongo, nk.
Sasa kati ya hizo kuna wimbo siukumbuki jina ila maadhui yake ni kwamba mwanaume hawezi shindana na mwanamke hata awe na msuli vipi. Mwanamke anaweza kukuua hata kwa ua.
Sijui nitaupata wapi huo wimbo. Nimekuja sana hapa jf bado sijaupata. Nilimtafuta Bizman anitumie lakini jamaa kimya hata hajibu.
Mwenye nao anitumie tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natafuta Wimbo mmoja unaitwa "SOPHIA'' uliimbwa na BUSHOKE {Aliurudia-japo sijui mtunzi halisi ni nani} huu wimbo naukubali sana. mwenye nao jamani jamani lkn pia nikipata ule wenyewe asili [original] nitashukuru pia.
 
Wimbo WA bendi fulani unahimiza vijana kwenda GEZAULOLE na KIBUGUMO kwenda kulima siukumbuki jina wala jina la hiyo bendi.
 
Back
Top Bottom