Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
"Sina hela,kamaunvyoona mpenzi,..ndo maana nimekuchagua wewe uwe wangu maishani.,.wazuri wako wengi ila sikuona mwenye sifa nikakuchagua wewe,..VERSE,.. Siku ya kwanza kukuona ilikua kwenye party,..niliagiza bia we ukaagiza pepsi,ukasema hunywi bia sababu bado denti,.."
Wimbo wakitambo kidogo wa bongo flava kuna mtu anaimba then kuna mtu anachana..,ka kuna mtu kaujua naomba jina la wimbo na msanii alieimba or link ya wimbo.
Msanii BEBOI WIMBO SINA DEMU NENDA YOU TUBE UUPAKUE
 
Wakuu natafuta wimbo wa STOPA unaimba hivi ''niko radhi nianguke kwa magotii iiiiiiii ninahaki ya kujua kosa langu mimi nije niombe samahani'' wakuu mwenye nao auweke nimeutafuta sana
 
sina demu kama unavyoniona mpenzi ndo maana nimekuchagua wewe ukidhi yangu mahitaji sio kwamba sitaki demu ila sijamuona mwenye sifa uzuri ulionao wewe malaika wangu.

mwenye kujua jina la msanii wa hyo ngoma anisaidie plz
Nenda goole utaipata hiyo nyimbo nilikua nayo, niliipata goole andika sina demu
 
Kuna nyimbo nakumbuka inaitwa "Brenda".Baadhi ya maneno yake kwenye kiitikio ni haya....Mara ya kwanza kukutana na brenda,akanieleza ye anatoka uganda,yupo bongo....Nataka uamini bado nakupenda,uko uliko brenda ntakujaaaaX2.Anayeifaham msaada pliz.
 
hivi ile ngoma aliyoiimba mdada mmoja kwenye kinondon talent final aliyofika makonda 2015 ina imbwa say baby baby huu huu i love u inarudiwa icho kiitikio
 
Mwenye hizi nyimbo jamani
1.Acha Tamaa
2.Anna
Zote za wazee Wa ngwasuma aka..FM Academia.
 
Back
Top Bottom