Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Nautafuta wimbo unitwa For better or for worse, sijui nani alieimba lakini naupenda na nilishindwa kuupata.
 
Sebene flan hivi la gospel linpigwa sana kwenye sherehe hasa harusi. "Huyu Mungu ni Baba"
 
Wimbo wa watoto
Kipindi cha watoto ITV nautafuta sana mimi tangu 2011 nikiwa nasoma sekondari siupati
 
Kuna wimbo unaitwa "mtani jirani" yupo juma nature ndani nafikiri ni wachuja nafaka. Chorus [emoji444]tutoe adhabu gan juu ya hawa wanaoturoga, kwa kuwa wanaoturoga tunaamini ni shetan, mwanga anayetutupia majin ni jiran.[emoji444]
 
Nnao ila kuuweka ndo mtihani
 
Kuna wimbo unaitwa "mtani jirani" yupo juma nature ndani nafikiri ni wachuja nafaka. Chorus [emoji444]tutoe adhabu gan juu ya hawa wanaoturoga, kwa kuwa wanaoturoga tunaamini ni shetan, mwanga anayetutupia majin ni jiran.[emoji444]
Wanaitwa Joint Mobb wako na Juma nature
 
Natafuta wimbo unaitwa Nakupenda kama Lulu wa Patrick Balisidya na Afro 70
 
Natafuta wimbo wa kilio cha wanafunzi ameeimba jamaa sahizi ni mwalimu makongo pale pia natafuta wimbo wa hardcore wa bodea na profesa jay
 
Back
Top Bottom