Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mi nutafuta huu sijui hata nani aliimba...

"Inakuwa kilio dunia inapoelekea
Tunapigwa mshangao na mengine tusoyajua,
Mwanadamu aliye na akili timamu macho,
Anafanya mapenzi na maiti bila kificho,
Eti kisaa yuko mochwari ward ya maiti,
ndio anayqfanya hayo hajui kwamba si haki,
kweli inasikitisha umauti ukifika kwako ,
Jee utajisikiake wakikufanya wenzako,
Ona Gile analia wenzake wanamcheka ,
Kaka yake kawa shoga wenzake wanamcheka,
Ah piga moyo konde kwani amepanga rabuka,
na jambo akipanga kulipangua si ruhsa,
Ona maofisini mama ana mini la ajabu,
Yani juu ya mapaja wanaume wanapata tabu,
Ndioaana unasikia mti kamsaliti mkewe,
Jana wamegombana kamuacha kakuoa wewe"


Daah ngoma kali sana ila sijui aliimba nani ... mwenye kujua anisaidie!
 
Sitafuti wimbo bali natafuta namna ya kubadilisha "video" kwenda kwenye "audio" ili "ni-copy" kwenye flashi ktoka kwenye kompyuta.
 
Sitafuti wimbo bali natafuta namna ya kubadilisha "video" kwenda kwenye "audio" ili "ni-copy" kwenye flashi ktoka kwenye kompyuta.
Unatakiwa utumie Mp3 Comveter, kufanya kazi hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Back
Top Bottom