Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta wimbo flani zilipendwa
Wanaimba
"sebwana kapongo sea sea
Kapongo sea sea
Wazungu ni wetu, wametuletea gari"

Sijuia aliimbaga nani
 
Natafuta wimbo wa kusema sema kubaya umeimbwa na Chuchu sound, nimeutafuta sana bila mafanikio tafadhali mwenye nao naomba anisaidie kunipatia nitamshukuru sana kwakweli. Ndani ya wimbo yupo Omary Mkali na Mao Santiago
 
Jamani mwenye nyimbo kati ya hizi naomba

Kesse boy ft Makamua-Hawa mademu

Chibdayo ft Marlaw-Kuwa naye

Awilo wa mbeya-Ee dada

Bozi Boziana-Amour oti wapi

African revolution(Tam Tam)-Kijino pembe

Extra bongo-3x3

Tot plus band
 
Wimbo wa mwizi pale msalabani ni dini inakaribia mwaka sasa inaonekana watu hawaujui au hawana
 
Mi natafuta sana tule tunyimbo twa Antony Lusekelo anaimbaga kwenye mahubili yake.ni twa kipekee,oh sayuni sayuni ooooh sayuni[emoji445]...Kwa imaniiiii tutashindaaa[emoji444][emoji350]
 
A million and one questions by Jay Z, nimeutafuta sana bila mafanikio!
 

Attachments

Kuna bendi ya zamani iliimba nyimbo kama mbio za sakafuni huishia ukingon, na shangingi pia ilikuwa na kibwagizo cha "kata kiu ya dance". Mtu anayeifahamu hii bendi anitajie na kama kuna mtu ana nyimbo zake naziomba.
 
Back
Top Bottom