Sio home coming bali ni Coming home.Kuna mzungu aliimba "home coming" ambayo ni copy ya alioimba Morgan Heritage. Nitafurahi kuupata.
Pia "redemption song" ya Bob Marley nautafuta sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitautafuta. Ni Arawa sio Alawa.Mwenye wimbo wa alawa,baadhi ya maneno wanasema alawa alikuwa fundi baiskeli kabla watu hawajamjua vizuri alawa akaiach a kweli
Mwenye nao tafadhali msaada tutani
Fanya hivyo mkuu. Ukiweza kuiupload hapa itakua vyema zaidi.Sio home coming bali ni Coming home.
Hiyo ninayo naweza kukutumia ila sina uhakika kama ni remix
Sent using Jamii Forums mobile app
DaaaaKifo hicho Kifo hicho hakikimbilikiiihiiii, imekuwa vita Marehemu angekimbia,x2, huu ombo huumba sana REDIO maria, uliimbwa Songea na Halimataya maarufu wa 1990s mama JOHN wa Lizaboni rip. Nahisi mdingi anayo pale home. Shida Ni kuihamishia toka kwenye tape.
Mbona shule zilishafunguliwa wew unatafuta nin humuKuna wimbo mmoja natafuta beat lake lina lia dududududu.. papalampa lampa lampa dudududu papalampa lampa mwenye nao tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo wimbo Wa Ismail saiv yupo kwenye band sijui ya banana/mpotoKuna wimbo sijui aliimba nani lakini unaitwa mama msamaha wa zamani huko miaka ya 2005 huko
Nakuomba mama msamaha nionee Huruma
Bakunde walihusika kuutengeneza
Mwanye nao anirushie
E&K
Mkuu hio ngoma mwenyew nmeitafuta had nmezima fegi na cjaipataMwimbo wa HONGERA unitwa "MASHABIKI" haujawahi kupatikana tena popote[emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app