Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Kwangu namlisha wali..na nyama kilo mbili we mwenzangu..oooh utalia mwenzangu jiji utalijua...Natafuta audio official ya East African Melody wimbo unaitwa 'utalijua jiji".
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wimbo sijui aliimba nani lakini unaitwa mama msamaha wa zamani huko miaka ya 2005 huko
Nakuomba mama msamaha nionee Huruma
Bakunde walihusika kuutengeneza
Mwanye nao anirushie
E&K
Msanii BEBOI WIMBO SINA DEMU NENDA YOU TUBE UUPAKUE"Sina hela,kamaunvyoona mpenzi,..ndo maana nimekuchagua wewe uwe wangu maishani.,.wazuri wako wengi ila sikuona mwenye sifa nikakuchagua wewe,..VERSE,.. Siku ya kwanza kukuona ilikua kwenye party,..niliagiza bia we ukaagiza pepsi,ukasema hunywi bia sababu bado denti,.."
Wimbo wakitambo kidogo wa bongo flava kuna mtu anaimba then kuna mtu anachana..,ka kuna mtu kaujua naomba jina la wimbo na msanii alieimba or link ya wimbo.
Nenda goole utaipata hiyo nyimbo nilikua nayo, niliipata goole andika sina demusina demu kama unavyoniona mpenzi ndo maana nimekuchagua wewe ukidhi yangu mahitaji sio kwamba sitaki demu ila sijamuona mwenye sifa uzuri ulionao wewe malaika wangu.
mwenye kujua jina la msanii wa hyo ngoma anisaidie plz
nnayo mkuu nimeipata kaimba Bi BoyNenda goole utaipata hiyo nyimbo nilikua nayo, niliipata goole andika sina demu
Thanks, nimeupata.Msanii BEBOI WIMBO SINA DEMU NENDA YOU TUBE UUPAKUE
Mkuu shukrani nimeshaupata[emoji120]Nimemwambia aweke namba yake ya simu anayotumia whatsapp namtumia ndani ya sekunde 5