Kuna wimbo flani niliusikia mwaka 2000...
Ilitoka Album nzima na mm nilipenda wimbo huo mmoja tu, ni wimbo wa Dini, sikumbuki jina la Kwaya iloimba.
Ila nakumbuka Kwaya ilitoka Arusha.

Nakumbuka mistari michache, ilisema...

UPENDO WAKE BWANA YESU NI WA AJABU....
HUNYESHEA MVUA WOTE, WEMA NA WABAYA..
UPENDO WAKE BWANA YESU NI WAAJABU...
HUSAMEHE DHAMBI ZETU HUPONYA MAGONJWA!!...
PENDO LAKE BWANA YESU NI LA AJABU....

Kuna mtu yoyote anakumbuka nyimbo yenye mistari kama hiyo?
 
Kuna wimbo nimeusikia mara mbili tatu hivu ukipigwa redioni; ila siujui jina.Ameimba mwanaume na mwanamke, kam wanajibizana hivi.Mistari yake ni hivi "Pole dada,Usilieeee uzuri wangu, utapata mwingine mzuri kunizidi"
 
Mkuu alibakari kuna nyimbo sijui inaitwa "sambara" iliimbwa na mad ice kama unao fanya kuutupia na huo mkuu
 
Wimbo mmoja wa mama muhaya anaitwa maua ,wimbo unaitwa akatambala ke laki nokajwala kitu kama hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…