Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Ninayo ipo kwa pc ilajinsi ya ku-upload ndio shidaNatafuta nyimbo ya Tutakukumbuka ya TID feat GK
Ikiwa audio itapendeza zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninayo ipo kwa pc ilajinsi ya ku-upload ndio shidaNatafuta nyimbo ya Tutakukumbuka ya TID feat GK
Ikiwa audio itapendeza zaidi
ninayo kwa pc, nielekeze jinsi ya kuiweka hapa nikuwekeeNautafuta "Nyeti" uliimbwa na Wagosi wa kaya
naomba nielekeze jinsi ya ku-upload wimbo hapa jukwaaniNakumbuka haka kamstari
....Hii jenuini hata ulaya hakuna....
Mkuu nipo serious,tunafanyaje..Mimi ninao
Sidhani kama unaitwa asu ila kwenye hiyo album ambayo wimbo ASU upo ndipo ulipo huo wimbo nadhani unaittwa reila kama sikoseiUnaitwa ASU
Sawa mkuu ila naona huu uzi wengi wetu tunahitaji zaidi ......wengi wanaomba ila watoaji hawapoMkuu ukiupata nitumie pia.
Ngoja wataalamu waje wakuelekezeNinayo ipo kwa pc ilajinsi ya ku-upload ndio shida
Kaka vipi shwari braza?Mimi natafuta sana kibao cha Elimu ya Mjinga toka kwa Banza Stone.
Mkuu alibakari kuna nyimbo sijui inaitwa "sambara" iliimbwa na mad ice kama unao fanya kuutupia na huo mkuuMr nice - rafiki mr nice rafiki mp3 download
John mjema - wachumba 30 john mjema wachumba 30 mp3 download
V2 - nasonga mbele v2 nasonga mbele mp3 download
Mad ice - baby gal mad ice baby gal mp3 download
Mike tee - sintobadilika mike tee sintobadilika mp3 download
Jay moe - maisha ya boarding jay moe maisha ya boarding mp3 download
LWP - jela lwp jela mp3 download
Sikinde - Huruma kwa wagonjwa huruma kwa wagonjwa sikinde mp3 download
Weka hapa tafadhariNnazo zote nitafte PM
Hayaishi kunighasi by Daz nundaz
Mpiga debe- Rap Nature & Q chief
Check Google hyo inapatikanaMwenye do for love 2pac plz aweke hapa