ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 569
- 1,009
Tongolanga amekufa?Nautafuta wimbo unaitwa "sanura,umeimbwa na marehemu Tongolanga"
Wimbo huu nadhani ni wa zamani lakn niliusikia mwaka Jana (2016) mwishoni nikiwa chuo...,dahhhhhhhh! ni wimbo mzur sana
Natafta wimbo mmoja ivii kiitikio chake huimbwa my sweet my love. Hutumika kucheza kwenye dance mbalimbli sijui Aina ya rumba, or salsaHuu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Wimbo ninao ila sijui jinsi ya ku uploadWimbo wa etra bongo 3 mara 3 nauomba
Nshauliziaga sikupata. Ni jamaa aitwa Easy Mchwa kama sijakoseaNatafuta wimbo wa kilio cha wanafunzi ameeimba jamaa sahizi ni mwalimu makongo pale pia natafuta wimbo wa hardcore wa bodea na profesa jay
Nimeshindwa kuutuma hapa nipe namba nkutumie kwa whatsappWakuu kwema? Aise kuna wimbo mmoja wameimba nadhani ni msondo ngoma ila sina uhakika kuna kipande kaimba marehemu TX Moshi anasema "tumezaliwa wengi lakini hatusaidiani......." naikumbuka hiyo sehemu tuu, anaejua jina la wimbo anitajie au kama anao atuwekee hapa.
Wimbo ninao ila sijui jinsi ya ku upload, lete namba nikutumieNatafuta wimbo wa
Adili - peke yangu
Nadhani una maana ya wimbo uitwao Monica ulioimbwa na Lokassa ya M'bongoÑatafuta wimbo mmoja wa lugha ya Lingala..siujui jina ila huwa kuna sehemu wanàimba Monice yee yee yeee here here
Jaman naupenda sana..anayeufahamu aniambie hata jina lake nikautafute
km una wimbo wa Extra bongo-3x3 naomba unitumie kwenye namba 0717552827.Wimbo ninao ila sijui jinsi ya ku upload
Nadhani una maana ya wimbo uitwao Monica ulioimbwa na Lokassa ya M'bongo