Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
NAOMBA MWENYE NYIMBO HIZI ATUTUMIE:-
JIKO LIMENUNA WA ZIGZAG CREW.
HEKA HEKA ZA DENT NA TEACHER WA G, SOLO FT INSPECTOR HAROUN.
SI ULILETA NYODO WA DAJO.
STAKI DEMU REMIX WA JUMA NATURE.
WAPE WAPE VIDONGE VYAO WA SUMA G.

HIZI NYIMBO NIMESHAZITAFUTA SANA TAFADHALI MWENYE NAZO ANISAIDIE.
 
Ñatafuta wimbo mmoja wa lugha ya Lingala..siujui jina ila huwa kuna sehemu wanàimba Monice yee yee yeee here here
Jaman naupenda sana..anayeufahamu aniambie hata jina lake nikautafute
 
natafuta ule wimbo wa tangazo la efm lile la Mziki mnene baa kwa baa, aliimba cjui msaga sumu vle
 
Wakuu yeyote mwenye wimbo unaitwa yatima hadekezwi kaimba keyman ft squeezer aisee autupie hapa ..nimeutafuta miaka mingi sana..
 
Mwenye hii nyimbo wakuu keyman ft squeezer yatima hadekezwi..autupie apa wakuu sana..
 
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965
Natafta wimbo mmoja ivii kiitikio chake huimbwa my sweet my love. Hutumika kucheza kwenye dance mbalimbli sijui Aina ya rumba, or salsa
 
Mie natafuta wimbo flani hivi WA langa jina siufaham ila una maneno flani,, mfano anatamka maneno kama bombocrat, nilianza kupiga danadana ila baadae nikaingia mazima,, huwa nautafuta sana YouTube sijafanikiwa
 
Mimi natafuta wimbo wa, Tuncut Alimasi, Jina la la wimbo sina hakika kama unaitwa Ajali.

Ila kuna maneno huimbwa:
Ajali ee mume wangu ajali
Ajali pa kutua mume hachagui.

Ajali wangu, nifanye nini
Mwenzio nateseka kwa ajili yako ohoo.
 
Naomba mwenye wimbo "Lekambuke" Wa Caz T mwana Wa komba. Kwenye video yupo na dokii. Pia naomba wimbo "Sikutaka" original version umeimbwa na Unique Sisters wapo peke yao siyo ule Wa dudu baya
 
Wakuu kwema? Aise kuna wimbo mmoja wameimba nadhani ni msondo ngoma ila sina uhakika kuna kipande kaimba marehemu TX Moshi anasema "tumezaliwa wengi lakini hatusaidiani......." naikumbuka hiyo sehemu tuu, anaejua jina la wimbo anitajie au kama anao atuwekee hapa.
Nimeshindwa kuutuma hapa nipe namba nkutumie kwa whatsapp
 
Ñatafuta wimbo mmoja wa lugha ya Lingala..siujui jina ila huwa kuna sehemu wanàimba Monice yee yee yeee here here
Jaman naupenda sana..anayeufahamu aniambie hata jina lake nikautafute
Nadhani una maana ya wimbo uitwao Monica ulioimbwa na Lokassa ya M'bongo
 
Sijui hata wameimba kina nani mkuu ila tu n lugha ya lingala..sema zipo nyimbo mbili za Monica na zote n lingala

Vipi huo ulioimbwa na lokasa m'bongo unapatikana mkuu?
Nadhani una maana ya wimbo uitwao Monica ulioimbwa na Lokassa ya M'bongo
 
Back
Top Bottom