Kuna wimbo uliimbwa na YP(RIP) yule aliyekuwa msanij wa TMK wanaume.
Unahusu mambo ya ukimwi aliuimba kwa lugha ya kinyakyusa kama sikosei.

Unaitwa 'mbombongafu' sina hakika.

Mwenye nao please.
 
Mi natafuta jingle zote za radio tz dar es salaam enzi hizo-
Jingle ya wimbo wa kipindi cha majira saa tatu usiku
Jingle Miraj nitafuteya kipindi cha mama na mwana
Jingle ya kipindi cha HONGERA MWANAGU
jingle ile ya muda umeme ukikatika RTD wanaweka vi-alarm flani hv amazing
Jingle ya kipindi cha SHAMBANI SHAMBANI HAYA TWENDEENI SHABANIII
Jingle ya kipindi cha michezo saa mbili kasorobo kabla ya habari usiku
Jingle ya vingoma flani hv muda mfupi kabla ya habari kusomwa..aahh radio tanzania inanikumbusha mbali yan hapa wahenga wenzangu nafkiri mnanielewa
 
Bila kusahau wimbo wa Marijan Rajab uliokuwa ukitumika kutuamsha asubuhi "...kumekucha sasa kumekucha. Majogoo vijijini yanawika. Wazalendo amkeni..."!
 
Mimi nautafuta wimbo fulani wa gospel uliimbwa na kwaya Fulani kitambo sana. Nmesahau jina lake na Nina la kwaya yenyewe lakini nakumbuka mistari take baadhi. Na mistari yenyewe ni ifuatayo: Nimekuleta chini nikakupa kila kitu lakini umesahau kwamba Mimi ni muumba wako. Ntashukuru Nikiupata.
 
Wadau mi kuna wimbo ulitoka kipindi cha nyuma na maudhui yake ni kifo (majonzi) mwimbaji ni Lady Jay Dee pia wimbo mwingine nilio utafuta bila mafanikio ni wa Ray C pamoja na Lady Jay Dee.. chonde chonde nahitaji usaidizi wajameni..
 
Bila shaka huo wimbo utakuwa wa Black Eyes Peas I'm not sure kama jina nimeliandika sahihi
 
Kuna nyimbo inaitwa "i love you"

Ipo kwenye album ya kwanza ya mr blue kabaisa....

Mwenye nayo au link ni msaada tafadhari.

Inaimbwa.

I love love i love love i love you baby....*5

Nimepata barua toka kwa rastafari kuwa we umo nami kwenye safari.....*2
 
HD Video
"Coolest kid in Africa- Nasty c ft Davido"

Hii video naitafuta bila mafanikio, YouTube naona imefutwa sjajua tatizo nini.
 
Msaada nyimbo hizi.
Nimemis kukabwa-soggy dog.
Mamis tanzania-Mandojo.
Vijimambo-noorah.
Nemo-nyimbo flan ya kitambo hivi... Achana na ile i need wife sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…