GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,796
- 4,497
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chorus yake inaimbwa '...hivi ni lini ombi langu litajibiwaaa.....hivi ninlini ombinlangu litakubaliwaaa.....naomba kwa mungu usiku kucha ili lije jibu labfurahaa...."
Nitumie link unagoma hata mimi
Bila kusahau wimbo wa Marijan Rajab uliokuwa ukitumika kutuamsha asubuhi "...kumekucha sasa kumekucha. Majogoo vijijini yanawika. Wazalendo amkeni..."!Mi natafuta jingle zote za radio tz dar es salaam enzi hizo-
Jingle ya wimbo wa kipindi cha majira saa tatu usiku
Jingle Miraj nitafuteya kipindi cha mama na mwana
Jingle ya kipindi cha HONGERA MWANAGU
jingle ile ya muda umeme ukikatika RTD wanaweka vi-alarm flani hv amazing
Jingle ya kipindi cha SHAMBANI SHAMBANI HAYA TWENDEENI SHABANIII
Jingle ya kipindi cha michezo saa mbili kasorobo kabla ya habari usiku
Jingle ya vingoma flani hv muda mfupi kabla ya habari kusomwa..aahh radio tanzania inanikumbusha mbali yan hapa wahenga wenzangu nafkiri mnanielewa
Safari trippersView attachment Safari_Trippers_-_Kumekucha.mp4Bila kusahau wimbo wa Marijan Rajab uliokuwa ukitumika kutuamsha asubuhi "...kumekucha sasa kumekucha. Majogoo vijijini yanawika. Wazalendo amkeni..."!
Bila kusahau wimbo wa Marijan Rajab uliokuwa ukitumika kutuamsha asubuhi "...kumekucha sasa kumekucha. Majogoo vijijini yanawika. Wazalendo amkeni..."!
Nyimbo zingine, sidhani kama unaweza zipata hapa, nenda pale Temeke mwisho, Stereo.Na ule wa 'sasa ni saa ya kuwaona wagonjwa'
Nadhani bwana mmoja anaitwa Hamza kalalaNatafuta wimbo flani zilipendwa
Wanaimba
"sebwana kapongo sea sea
Kapongo sea sea
Wazungu ni wetu, wametuletea gari"
Sijuia aliimbaga nani
Search Tanzania - Wikipedia wame attach details zote hadi national anthem unadownload bila tatizo.Wimbo wa Taifa.