Ya Mike T ni Nyaluland...

Uko sawa Sonel ndo aliimba Posta

Pengo ya Waswahili moja ya ngoma bora sana toka kwa hawa jamaa
 
Asante sana mkuu
Ya Mike T ni Nyaluland...

Uko sawa Sonel ndo aliimba Posta

Pengo ya Waswahili moja ya ngoma bora sana toka kwa hawa jamaa
Nyaluland ilikuwa iko vizuri sana..

Sonel -Posta...jamaa alikuwa ana aflow flan hv,,

Pengo ya Waswahili

Kama unazo mkuu,,share hapa
 
Kuna goma moja la kibabe Ngwair{RIP} alimshirikisha Juma Nature bahati mbaya nimesahau verse na chorus ila hapa napoandika beats zake zinanijia kichwani ila kuuelezea zaidi kwa ufasaha nashindwa ila beat lake likitaka kufanana na beat la Shock Ones la Mobb Deep naomba mwenye nayo hii ngoma anipe link.

Thanks in advance wakuu.
 
Kuna app flani ni nzuri sana kwenye nyimbo yaani ukishajua jina LA wimbo na mpigaji wimbo huo na ukaserch bas ni rahisi sana kupata wimbo huo,
 
Au Msela wako na Kr Mulla pia
 
Kuna ngoma moja ya songa na ghetto ambassador.
Songa ana chana " duke anasema songa unaandika ka sean P"

Siijuagi jina na nili download nyimbo zao zote bila mafanikio kuipata.

Mwenye nayo asaidie hata jina tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…