Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Hakika bro hilo hilo Nizikwe hai huwa siipati kabisaMandojo na domokaya inaitwa Nizikwe hai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika bro hilo hilo Nizikwe hai huwa siipati kabisaMandojo na domokaya inaitwa Nizikwe hai
Kitu kama humo ndani wanasema "Ni mizinga na Nako"?
Hakika bro hilo hilo Nizikwe hai huwa siipati kabisa
Sijaisoma ngoja niitafuteKuna mdau ameitupia juu apo
Sijaisoma ngoja niitafute
Pamoja sana Arif nimeshaipata sasa narukanayo hapaPost # 2809
Wadau wakiiangusha na hii siku itaenda vizuri sanaYah nu hiyo hiyo
Mwenye Neema ya Makamua, aliimba na Dully + Mr Blue
Mwenye ngoma yeyote ya jamaa anaesadikika kua ndio msanii bora wa muda wote katika hiphop ya Bongo (Hashim dogo) aweke humu tumsikie
Ha ha ha sijui kwa nini siku zote huwa naamini Hashim ni overrated artist. Sifa apatazo hastahili,na hakuna kikubwa alichofanya kwenye bongo hiphop zaidi ya kuongelewa sana baada ya kutoa wimbo Wa tunasongaMwenye ngoma yeyote ya jamaa anaesadikika kua ndio msanii bora wa muda wote katika hiphop ya Bongo (Hashim dogo) aweke humu tumsikie
Kitu kama humo ndani wanasema "Ni mizinga na Nako"?
Q Chief Alipiga kiitikio kwere sana humu ndaniMzimuni Family ft Q Chief -Fani katika Maisha
Mwenyewe nahisi nipo upande wako mkuu sijui kwanini anaongelewa kwa ukubwa kiasi hicho?Ha ha ha sijui kwa nini siku zote huwa naamini Hashim ni overrated artist. Sifa apatazo hastahili,na hakuna kikubwa alichofanya kwenye bongo hiphop zaidi ya kuongelewa sana baada ya kutoa wimbo Wa tunasonga
Asante sana kakaNyingine hizi
Ndoa haina doa(bado nipo nipo rmx) by inspekta haroun