Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Hip hop sahihi.....nazan ni ile ya aliyekuwa demu wa marehem Complex ambaye walikufa wote kweny ajali..
Vivi feat Ay-umuhimu
Ay kwenye chorus anaimba "hip hop sa ipo hewani/
Hip hop sa ipo hewan/
Hakuna shuka chini inapobidi juu kwa juu/
Umuhimu wetu ubaki na tuzidi kuwa juu/
Sijui km nmepatia ila nazan ndio huo
 

Attachments

Kuna goma lilikua linaitwa Msafiri la kitambo sijui nani kaimba ile, mwenyenayo tafadhari

Sugu - hayakua mapenzi

Na kuna goma walikua wanaimba "Hip hop sahihi ...." sikumbuku ni ya nani?
Vivian huyo na Ay..

Aliimba pia Siwaelewi na Dully
 
Nyingine hizi
 

Attachments

Natafuta wimbo unaitwa KANDELE (kabinti) jamaa walioimba siwajui ila wameimba kwa lugha ya kizigua na kisambaa!
 
Wakuu natafuta track ya

Jose Mtambo - Kizaazaa.

Hashim Dogo, chorus inasema Kikosi kinawala maemcee ka msosi, kinaiunguza kama jua la utosi.

Ahsanteni.
 
Hip hop sahihi.....nazan ni ile ya aliyekuwa demu wa marehem Complex ambaye walikufa wote kweny ajali..
Vivi feat Ay-umuhimu
Ay kwenye chorus anaimba "hip hop sa ipo hewani/
Hip hop sa ipo hewan/
Hakuna shuka chini inapobidi juu kwa juu/
Umuhimu wetu ubaki na tuzidi kuwa juu/
Sijui km nmepatia ila nazan ndio huo
Hakika mkuu hilo hilo dude yani daah. Shukrani sana
 
Back
Top Bottom