Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,437
Inaitwa Usiulize,,ninayo hapa lkn nashindwa kuiweka hapa,natumia simuWakuu mwenye nyimbo ya Rado pigia mstari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaitwa Usiulize,,ninayo hapa lkn nashindwa kuiweka hapa,natumia simuWakuu mwenye nyimbo ya Rado pigia mstari.
Wakuu mwenye nyimbo ya Rado pigia mstari.
Bila sanaa..Nyingine hizi
I will be back tomorrowBila sanaa..
Show love - n2n
Mkuu umetisha sana
Kuna ngoma nilishazitafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio kama unazo tafadhali naomba
Rafiki - Suma lee ft Joh Makini
Wrong number - Snop lee
Mandojo na Domo kaya - asaiikumbuki jina ila wanaimba "Ni kitu gani haswa kilichofanya mpaka mimi ukaniacha"
Naongezea hapa ile Solo kamshirikisha Mr Pol sijui inaitwa na mpenziSolo Thang - Homa dunia
Solo Thang - Simu
Pamoja sana mkuu Mungu atupe uzimaI will be back tomorrow
Za mandojo ninazo
Ngoja wadau wataishusha mkuuNaongezea hapa ile Solo kamshirikisha Mr Pol sijui inaitwa na mpenzi
Pamoja bro, afu hivi ilishawahi kutokea Collabo la N2N na Kikosi?Ngoja wadau wataishusha mkuu
Ni Pm nkutumieeNatafuta wimbo wa "baba paroko" zilipendwa flani hivi una Maneno 'naleta mashitaka kwako baba paroooko.. Naleta mashitaka lwenu hukohuko kanisani eeee... Mimi na mama ya watoto nyumbani kivumbi na jashooo
Ngoja nitaangalia kama ninao...
Nimekaakaa hapa kwa kuviziavizia hadi nikadokoa ngoma za ukweli asee!! Big up mkuu KIOO na wadau wote mlionirudishia ujana wangu japo kwa muda!
Wimbo mtamu sana
Pengo nnayo ila ipo kwenye PC na kupandisha nyimbo humu huwa nashindwaYa Mike T ni Nyaluland...
Uko sawa Sonel ndo aliimba Posta
Pengo ya Waswahili moja ya ngoma bora sana toka kwa hawa jamaa
Mkuu una wimbo Wa Caz T mwana Wa komba waitwa "Lekambike"? Na wimbo Wa unique sisters unaitwa "sikutaka" siyo ule waloimba na dudu baya
mkuu Vip Mademu wa leo ya Mr Nico ft Hajibon...unayo??
Asee kwenye hizi za ziada kuna wimbo Wa lady jay dee kama sikosei upo kwenye album ya machozi siujui jina lake ila kwenye huo wimbo kuna jamaa anapiga simu halafu anaongea ongea hivi. Baadhi ya maneno yanasema .. Ninachofanya ni kukupenda, milele yote nitakupenda,nakupenda I love you... Nikiupata nitafurahi sana nduguNarusha za ziada
Ila ile alifanya na kundi zima la kwanza unity na ninadhani online itakuwepoKuna moja inaitwa " Mimi Msafiri". Ninayo, ila sina uhakika ipo sehemu gani. Nadhani wenye nayo watairusha humu.