KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Sio ile ya "mtoto wa jakaya"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ile ya "mtoto wa jakaya"
Sidhan bro,,sijawasikia hii kituPamoja bro, afu hivi ilishawahi kutokea Collabo la N2N na Kikosi?
Aiseeee, wee jamaa una hatari sana mkuu.
Natumai utakuwa ni mmoja kati ya MA-DJ waliopo kwenye radio moja kubwa sana mkuu.
Ntakuwa nakosea sana kama sitasema HESHIMA KWAKO MKUU ntakuwa ni mchoyo wa fadhila aisee.
Kwa kuanza tu kwanza naomba hiyo ngomae Mr.Prezzo G aisee. Ni hatari sana hiyo ngoma bro. Ni ya moto zaidi ya band mkuu.
Thanks a lot bro.
Kuna wimbo kiitikio chake kiko hivi "upiga debe kwangu ilikuwa poa,fani katika maisha ikaja kuniokoa,Hali ya wazazi kijiji........", yaan story ya huu wimbo n kuwa jamaa alkuwa mpga debe baadae akaanza mziki,kuptia mziki akafahamiana na lishuga mamy likamwambukiza ngoma,huu wimbo nmeshautafuta sanaNipe namba pm..nikutumie whatsapp hapa nashindwa kuweka...
Mzimuni Family ft Q Chief -Fani katika MaishaKuna wimbo kiitikio chake kiko hivi "upiga debe kwangu ilikuwa poa,fani katika maisha ikaja kuniokoa,Hali ya wazazi kijiji........", yaan story ya huu wimbo n kuwa jamaa alkuwa mpga debe baadae akaanza mziki,kuptia mziki akafahamiana na lishuga mamy likamwambukiza ngoma,huu wimbo nmeshautafuta sana
Kuna wimbo kiitikio chake kiko hivi "upiga debe kwangu ilikuwa poa,fani katika maisha ikaja kuniokoa,Hali ya wazazi kijiji........", yaan story ya huu wimbo n kuwa jamaa alkuwa mpga debe baadae akaanza mziki,kuptia mziki akafahamiana na lishuga mamy likamwambukiza ngoma,huu wimbo nmeshautafuta sana
Wandango -Ingekuwa poa (jibu la ingekuwa vp ya Mwana FA)
LWP ft Inspecta haruni-Mke wa mtu
Nuruely ft Fid Q- Mng'aro wa silva
Manyema family -Jinsi Tulivyo
Zishushen hapa..
Iyo inaitwa ya mike najide inaitwa NyalulandShukran sana mkuu!!
Kuna ngoma ya
Waswahili -Pengo
Mike Tee ft Lady Jay Dee jina la wimbo nmesahau ila ni ngoma yake ya mwanzo kabsa(kama sijasahau ilikuwa inaitwa bongoland)
Joh Makin -Dakika 90
Soneli -Posta (sina uhakika sana na jina la msanii)
Hio ngoma inaitwa Msela, iko na very hard beats!Kuna goma moja la kibabe Ngwair{RIP} alimshirikisha Juma Nature bahati mbaya nimesahau verse na chorus ila hapa napoandika beats zake zinanijia kichwani ila kuuelezea zaidi kwa ufasaha nashindwa ila beat lake likitaka kufanana na beat la Shock Ones la Mobb Deep naomba mwenye nayo hii ngoma anipe link.
Thanks in advance wakuu.
Wakuu mwenye nyimbo ya Rado pigia mstari.
Mi nashangaa kwanini hawajaanda tour! Naamini kuna wataopata hela za mitaji wengi tu! Hata wakiita "Old is Gold Tour" still ina sound freshi! Watapiga pesa na watajaza kumbi with the right marketing mix effort!Hivi Hawa wasanii hawajui wamekalia hela kiasi gani tu..Wakiamua kufanya tours watafunika mbaya.Hizi nyimbo zao hazichuji kabisa.
Wakiandaa matamasha ya hip hop watajaza mpaka watashangaa.Yaani siku hizi wapenzi wa ngoma kali hatuna pakwenda.Utakutana na wabana pua Mara Nyegezi nyimbo hata hazieleweki.Ujinga ujinga tu.
Pamoja bro, afu hivi ilishawahi kutokea Collabo la N2N na Kikosi?
Kuna goma lilikua linaitwa Msafiri la kitambo sijui nani kaimba ile, mwenyenayo tafadhari
Sugu - hayakua mapenzi
Na kuna goma walikua wanaimba "Hip hop sahihi ...." sikumbuku ni ya nani?
Bila sanaa..
Show love - n2n
Mkuu umetisha sana
Kuna ngoma nilishazitafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio kama unazo tafadhali naomba
Rafiki - Suma lee ft Joh Makini
Wrong number - Snop lee
Mandojo na Domo kaya - asaiikumbuki jina ila wanaimba "Ni kitu gani haswa kilichofanya mpaka mimi ukaniacha"