Mwenye ngoma yeyote ya jamaa anaesadikika kua ndio msanii bora wa muda wote katika hiphop ya Bongo (Hashim dogo) aweke humu tumsikie
 
Ha ha ha sijui kwa nini siku zote huwa naamini Hashim ni overrated artist. Sifa apatazo hastahili,na hakuna kikubwa alichofanya kwenye bongo hiphop zaidi ya kuongelewa sana baada ya kutoa wimbo Wa tunasonga
 
Mwenyewe nahisi nipo upande wako mkuu sijui kwanini anaongelewa kwa ukubwa kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…