GANGSTARR
Member
- Sep 13, 2018
- 29
- 33
Kama unaamini Hashim alisikika kwenye Tunasonga tu nakusikitikia sana mkuu kwa kukosa ladha na mashairi konki ya huyu mwana Hip Hop OG ambaye Mimi binafsi sijaona wakumfananisha nae hapa TZ mpaka sasa.Ha ha ha sijui kwa nini siku zote huwa naamini Hashim ni overrated artist. Sifa apatazo hastahili,na hakuna kikubwa alichofanya kwenye bongo hiphop zaidi ya kuongelewa sana baada ya kutoa wimbo Wa tunasonga
Nikipata muda ntaandaa collection ya tracks zake niweke hapa kwa ajili ya wadau wengine waweze pata kusikia alichofanya jamaa kabla yakuachana na muziki ingawa Nyimbo nyingi za huyu mtu anatumia lugha za mtaani (matusi) moja ya sababu kubwa inayopigwa redioni ni Tunasonga tu.