Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Nitafurahi kama wadau wengine wakiendelea kushusha tracks za Hashim hapa.
Pamoja sana mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafurahi kama wadau wengine wakiendelea kushusha tracks za Hashim hapa.
😀😀😀😀Kuna wimbo wa RnB umeimbwa na dada mmoja wa kitambo sana nikiwa mdogo nilikuwa nakapenda sana, ulikuwa unaanza "tululuu taaa, tululuu lutaaaa" video yake kama amekaa kwenye bomber pembeni ya bwawa
Wimbo wa Marehemu Juma Ballo unaitwa "Usdenge na Ukuwadi nilipi lilolazaidi?"Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Kuna wimbo wa RnB umeimbwa na dada mmoja wa kitambo sana nikiwa mdogo nilikuwa nakapenda sana, ulikuwa unaanza "tululuu taaa, tululuu lutaaaa" video yake kama amekaa kwenye bomber pembeni ya bwawa
Sikutaka ku-comment chochote zaidi ya ku-like na kushusha TRAXX tu ila huyu jamaa ametisha sana na hiyo "tululu taaa".😀😀😀😀
Hahah! sure jamaa katisha mbaya maana nimecheka hapa watu wananishangaa tuSikutaka ku-comment chochote zaidi ya ku-like na kushusha Traxx tu ila huyu jamaa ametisha sana na hiyo "tululu taaa".
Ila kwa kuwa tumelelewa na music nimeshamsoma na kumpatia anachohitaji hapo juu aisee.
☝🏼
Huyu Joh siku hizi wanaimba Swagiree swagiree ila yakiamua kukaza yapo vizuri, kuna goma moja la G nako yupo na Joh linaitwa Juma Ikangaa. Mzee humo ndani jama wamekaza kinomaRado - Hukumu ndotoni
Watengwa (Hardcore unit) - Tabia mbaya
Joh Makini - Muda & Dakika 90
Rafiki ya Suma lee ft Joh makini
Makini namkubar kipind kile anafanya Hao,Dakika 90,Muda japo kwa mbal akaanza kutoka kwenye misingi,,,siku hz simsikiliz sanaHuyu Joh siku hizi wanaimba Swagiree swagiree ila yakiamua kukaza yapo vizuri, kuna goma moja la G nako yupo na Joh linaitwa Juma Ikangaa. Mzee humo ndani jama wamekaza kinoma
Solo Thang - Homa dunia
Solo Thang - Simu