Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wale washkaji walkw wanaimba kwa kupokezana kwa style ya komedi sijui wamepotelea wapi sikuhiz, na sijui wanaitwaje
😀😀😀😀 ni Mjusi na Profesa kazi. Nyimbo za katengeneza Bizimana Ntavyo (Bizzman).
 

Attachments

Wandango -Ingekuwa poa (jibu la ingekuwa vp ya Mwana FA)

LWP ft Inspecta haruni-Mke wa mtu

Nuruely ft Fid Q- Mng'aro wa silva

Manyema family -Jinsi Tulivyo

Zishushen hapa..
LWP huo wimbo wa mke wa mtu chorus aliimba Bizzman
 

Attachments

Kuna wale washkaji walkw wanaimba kwa kupokezana kwa style ya komedi sijui wamepotelea wapi sikuhiz, na sijui wanaitwaje
😀😀😀 ni Dr. Mjusi na Profesa Kazi. Nyimbo zao katengeneza Bizzman pale Sound Crafters. Na chorus pia kaimba mwenyewe Bizzman. Infact walikuwa wanaimba comedy. Sikiliza hii hapa
 

Attachments

Bila sanaa..
Show love - n2n

Mkuu umetisha sana

Kuna ngoma nilishazitafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio kama unazo tafadhali naomba
Rafiki - Suma lee ft Joh Makini
Wrong number - Snop lee
Mandojo na Domo kaya - asaiikumbuki jina ila wanaimba "Ni kitu gani haswa kilichofanya mpaka mimi ukaniacha"

Jaribu kusikiliza hizi hapa chini kama ndio zenyewe
 

Attachments

Hip hop sahihi.....nazan ni ile ya aliyekuwa demu wa marehem Complex ambaye walikufa wote kweny ajali..
Vivi feat Ay-umuhimu
Ay kwenye chorus anaimba "hip hop sa ipo hewani/
Hip hop sa ipo hewan/
Hakuna shuka chini inapobidi juu kwa juu/
Umuhimu wetu ubaki na tuzidi kuwa juu/
Sijui km nmepatia ila nazan ndio huo
Hio track ninayo ila sijajua iko wapi! Nadhani wenye nayo watarusha
 
Back
Top Bottom