Kuna wimbo wa RnB umeimbwa na dada mmoja wa kitambo sana nikiwa mdogo nilikuwa nakapenda sana, ulikuwa unaanza "tululuu taaa, tululuu lutaaaa" video yake kama amekaa kwenye bomber pembeni ya bwawa
 

Attachments

Nitafurahi kama wadau wengine wakiendelea kushusha tracks za Hashim hapa.
Mkuu bado naamini Hashim ni overrated and coward MC aliyekimbia baada ya kusoma alama za nyakati huku wenzake wakiendelea kutafuta ukombozi Wa hiphop na Muziki kwa ujumla. Hashim halingani na D rob wala zavala Wa KU. Kwa nini ananyanyuliwa kiasi hiki? Alifanya nini? Mbona Hata Nash MC anaandika na kuflow zaidi yake? Hapa nachoona jamaa anapepelewa na uzamani tu ila kwa shughuli jamaa Hata robo hamfikii fid q.
 
Mkuu naomba nisaidie kunitumia kwa whatsapp zote hizo +27784696692 pls
 
Kuna jamaa ameweka screenshot nyimbo za Mr. Paul naomba uziweke hasa hiyo ya chokolate akiwa na.jose mtambo, harusi na nyinginezo.za mr. Paul
Pia naomba wimbo wa Pauline zongo Safari
 
Utatisha sana mkuu maana ukifanya hivyo utatusaidia kutushawishi na sisi wengine ambao hatujawahi kusikia kazi nyingi za huyu jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…