ππππ ni Mjusi na Profesa kazi. Nyimbo za katengeneza Bizimana Ntavyo (Bizzman).Kuna wale washkaji walkw wanaimba kwa kupokezana kwa style ya komedi sijui wamepotelea wapi sikuhiz, na sijui wanaitwaje
Ile ngoma ya Gangwe Mobb na Marehemu Nasma Khamis (malkia wa taarabu). Hii hapa chiniMwenye nayo aiweke....rap fulani chorus kuna dada kasimama "wape wapeeee vidonge vyao"
ay
pata pata raha kamili..
mwana fa na stara thomas
mchanga wa macho
mike tee kama
Solo Thang - Homa dunia
Solo Thang - Simu
LWP huo wimbo wa mke wa mtu chorus aliimba BizzmanWandango -Ingekuwa poa (jibu la ingekuwa vp ya Mwana FA)
LWP ft Inspecta haruni-Mke wa mtu
Nuruely ft Fid Q- Mng'aro wa silva
Manyema family -Jinsi Tulivyo
Zishushen hapa..
Umeipata. Hii hapaJoh Makini - Dakika 90 hii naitafuta sana
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
πππ ni Dr. Mjusi na Profesa Kazi. Nyimbo zao katengeneza Bizzman pale Sound Crafters. Na chorus pia kaimba mwenyewe Bizzman. Infact walikuwa wanaimba comedy. Sikiliza hii hapaKuna wale washkaji walkw wanaimba kwa kupokezana kwa style ya komedi sijui wamepotelea wapi sikuhiz, na sijui wanaitwaje
Track inaitwa USIULIZEWakuu mwenye nyimbo ya Rado pigia mstari.
Bila sanaa..
Show love - n2n
Mkuu umetisha sana
Kuna ngoma nilishazitafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio kama unazo tafadhali naomba
Rafiki - Suma lee ft Joh Makini
Wrong number - Snop lee
Mandojo na Domo kaya - asaiikumbuki jina ila wanaimba "Ni kitu gani haswa kilichofanya mpaka mimi ukaniacha"
Hizi hapa. Kama zoooote vile
LWP huo wimbo wa mke wa mtu chorus aliimba Bizzman
Shukran sana mkuu!!Umeipata. Hii hapa
Sio makusudi, sometimes mizigo ya kurusha inakua hamna πππTatizo la Uzi kama huuu mkali huwa unaendaaaa halafu itafikia kipindi watu wanakuwa kama wamechoka hivi kurushiana madude. Tafadhali tusichoke kupeana gold olds
Haha! apo ata shazam ina chemkaKuna wimbo flani ni wa dini wa Zambia maarufu sana mkoa wa mbeya unaimbwa "nalisakilene sijui mini" Kama sijakosea kwa anaeujua tafadhali pm me.
Hio track ninayo ila sijajua iko wapi! Nadhani wenye nayo watarushaHip hop sahihi.....nazan ni ile ya aliyekuwa demu wa marehem Complex ambaye walikufa wote kweny ajali..
Vivi feat Ay-umuhimu
Ay kwenye chorus anaimba "hip hop sa ipo hewani/
Hip hop sa ipo hewan/
Hakuna shuka chini inapobidi juu kwa juu/
Umuhimu wetu ubaki na tuzidi kuwa juu/
Sijui km nmepatia ila nazan ndio huo
Shukrani Sana mkuu Ubarikiwe.Hii hapa
ππππJaribu kusikiliza hizi hapa chini kama ndio zenyewe
Wadau walishaitupa humuHio track ninayo ila sijajua iko wapi! Nadhani wenye nayo watarusha
Ha ha haHaha! apo ata shazam ina chemka
Hizi hapa zote mbiliFarida-Pesa
Nyimbo za sister P naomba maana google hawana