Naomben tracks za ngwair
Madem wangu
sikiliza
Wikend
Napokea simu
Zawadi
 
Melimela nini!?
 
Wimbo Wa X-mass unaitwa "haya twendeni wote" moja ya mistari yake yasema . haya twendeni wote kule Bethlehem tukamwone mkombozi wetu..
 
Samahani wanajukwaa,kuna wimbo wa Picco amemshirikisha Mwana Fa,kama kuna mtu anao anaweza kuu-appload humu!
 
OCG-Kazeze.....
ishawekwa humu...
 
Waungwana natafuta nyimbo mbili moja inaitwa kithatha(ni wakati wa kujilinda sasa mtakoma mtaenya na kithatha) jamaa aliimba chorus kama mtu mwenye kithembe kwenye ulimi! Mwingine wa jamaa walikua wanaitwa big dog pose
 
Mwenye wimbo wa Jos Mtambo-kizazaa
SOS b-Kukuru kakara zako
2proud-ni mimi
Hardblasters-weusi twapendeza
Naomba anisaidie kutupia humu
 
Mwenye version ya CCM Mbele kwa Mbele tafadhali, ule unaomtaja Mh Tulia Naibu spika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…