Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Naomben tracks za ngwair
Madem wangu
sikiliza
Wikend
Napokea simu
Zawadi
 
Kuna wimbo mmoja aliimba jamaa wa Uganda nafikiri miaka ya 2008, ulikuwa na maudhui nzuri sana, moja ya rhyme zake ni hizi
"Analia akitizama chini,
Na hajui atafanya Nini,
Loo lo lolooo"
Shortly unamuhusi binti ambaye alikuwa akionywa na mama ake toka akiwa mdogo asifuate ya kidunia alivofika kidato Cha tatu Basi dunia ikamhadaa akapoteza vyote mzee.
Melimela nini!?
 
Wimbo Wa X-mass unaitwa "haya twendeni wote" moja ya mistari yake yasema . haya twendeni wote kule Bethlehem tukamwone mkombozi wetu..
 
Samahani wanajukwaa,kuna wimbo wa Picco amemshirikisha Mwana Fa,kama kuna mtu anao anaweza kuu-appload humu!
 
Kuna pini flani hivi mchizi anasimulia story ya jamaa yake aliyefariki kwa miwaya ...haamini kumwona jamaa yake.Odinary sana.siyo alikufa kwa ngoma wala msinitenge au starehe ya braza Ferooz.Ni ngoma tamu kuisikiliza,kuifikiria na funzo lake pia ni jema kiasi.
OCG-Kazeze.....
ishawekwa humu...
 
Waungwana natafuta nyimbo mbili moja inaitwa kithatha(ni wakati wa kujilinda sasa mtakoma mtaenya na kithatha) jamaa aliimba chorus kama mtu mwenye kithembe kwenye ulimi! Mwingine wa jamaa walikua wanaitwa big dog pose
 
Mwenye wimbo wa Jos Mtambo-kizazaa
SOS b-Kukuru kakara zako
2proud-ni mimi
Hardblasters-weusi twapendeza
Naomba anisaidie kutupia humu
 
Mwenye version ya CCM Mbele kwa Mbele tafadhali, ule unaomtaja Mh Tulia Naibu spika
 
Back
Top Bottom