Kuna nyimbo naitafuta chorus yake ilikua inaimba 'kukupenda wewe mimi sikuwa fala, ila nidadishwa na yako skin color.
Pia natafuta wimbo wa Joslin ft Lady JD-Umewezaje
Huyo sio MTU wa kawaida bhana.Mkuu Gwankaja thanks alot unafanya vitu adimu
mkuu kama una nyimbo Za African Revolution Wana Tam Tam naziomba...
Mwenye ako na nyimbo za (Enika)_baridi kama hii na nyinginezo
Mkuu KIOO ukishirikiana na bwana GWANKAJA tafadhali naomba hizi nyundo.
1.Ay ft Mwana FA_Habari ndo hiyo.
2.Balozi_Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi Balozi bado nipo ninapanda kwenye chati yeeahh.
Wakuu tafadhali naziomba.
Shukrani Wakuu.