ATRACURIUM
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 753
- 918
Kuna charanga moja enzi za mabasi ya bara pale Kisutu inaitwamwanameka ipoooo
Mwana fa na fid q ft berry black sijui inaitwaje kunasehem fid anasema
"Nikisimama sidondoki...//
Napenda unavyonitania eti nimechanjia dodoki...//
Mexicana lacavela Ngoma inaitwa lunduno
Baghdad anamchana Nikki mbishi
"Ukinishinda Kwa bato basi nitakupa bato...//
Kuna charanga moja enzi za mabasi ya bara pale Kisutu inaitwamwanameka ipoooo
NARUDI KWA OMBI LINGINE SABABU KWA SISI WA ENZI HIZO TUKISIKILIZA HIZI NGOMA TUNAKUMBUKA MAMBO MENGI SANA.
1: NAOMBA NGOMA YA GHETO MSOTO YA CHEMBA SQUAD
2: UNIQUE SISTERS - MAKE YOUR BUMS
3: BIRTHDAY YA HK - YA HK
4:BORA UOMBE MAUTI - YA FAGIO LA CHUMA.
5: BLACK SKULL - BALAA
6; MAMA MWENYE NYUMBA - GWM
MTANIVUMILIA SANA KWA MAOMBI MENGI YA HIZO NYIMBO ILA NAJUA WENGI TUNAZIPENDA ILA TULIZISAHAU TU MAJINA.
Mkuu KIOO kuna ngoma moja ya wagum fulani wa zamani early 2000s bahati mbaya jina lao sijalikamata ila naikumbuka chorus inasema "TWENDE KAZI WATU WAJUE NANI M'BAKIAJI,TWENDE KAZI WATU WAJUE NANI M'BAKIAJI,TWENDE KAZI YOO×2",pia ktk verses kuna mmoja wao ana-rap kisha anafanya kama kufyonza hivi.....
Sijui kama maelezo yameeleweka ila naomba kama utaweza kuunga unga dots uipandishe hiyo ngoma hapa.
Ngoja niijaribu kufikirika mkuu nitarudi.Hizo lyrics zinakuja zinatoka unaweza kuongezea mistari kidogo au mtu yoyote aliyepo kwenye hiyo ngoma humkumbuki aisee...?
Try to remember bro. Thanks.
[emoji1420]
Mwenyewe zinakuja zinapotea... ilikuwa kama crew hivHizo lyrics zinakuja zinatoka unaweza kuongezea mistari kidogo au mtu yoyote aliyepo kwenye hiyo ngoma humkumbuki aisee...?
Try to remember bro. Thanks.
[emoji1420]
poa mkuu..Ahsante sana mkuu.. hili goma nalielewa sana...
Ras Six-Sina Pamba
BM ft Marlaw-Nambie Ulipo
Davy Zinda-Kasoro
Mrembo K town people...
Afande Sele-Afande Anasema
PNC ft Chelea man-Naumia
kuna mwingine chorus inaimba "We nenda tu we nenda tu...
Moyoni ulinichoma... ondoka ww nenda usije niletea ngoma ooh"... humo ndan kuna jamaa kaimba kigumu sana, wimbo nafikiri unaitwa Nenda ila wasanii siwakumbuki!!
Wakuu mwenye hizi anisaidie...