Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Yani yule mmama kama sio Jamaica basi southNi yeye. Hope waliaonao watatupiamo
Jaamani sukaaari teleee...
Chai ina sukari teleee... Hahah.
Enjoy The Vibez. [emoji1420]
chorus anaimbaje..natafuta nyimbo ya Kassim Mganga - Usinune
mwenye nayo afanye namna
"usinune utazoeaaaa usinune utazoeaaa usinuneeeeeee utazoeaaa" ni hvyo tu mkuuchorus anaimbaje..
Unaandika tu download snaptube andika wimbo wa taifa wa tanzania usirudie utumboWimbo wa Taifa.
Wakuu mmetisha sana... hongereni sana, naombeni nyimbo ya Chindo Man-stori ya nyokaa
Wakuu mko sawa??
Huyu mtt mrembo mlaini laini mtaratibu (Ray_C)
Dondosheni nyimbo zake za kitambo ambazo ni HATARI.
Shukrani.
#TeamBajuda
Mwenye Wimbo wa Idaya wa Pepe Kale nisaidie please.