Mkuu dude hili balaa lake sio la kawaida.Kadhaa hii hapa, endelea
Huu hapa man. Huu ndo unaanza na hilo tangazo toka kwa DJ. EnjoyKaka kama una wimbo wa Daz nundaz si ukumbuki vizuri ila nahisi kuna sehemu au mstari unasema HILI NI TANGAZO MAALUMU KWA DAZ KWANZA CHEKI CHEKI naomba msaada wa hyo nyimbo
Poa poa Mkuu shukrani sanaHuu hapa man. Huu ndo unaanza na hilo tangazo toka kwa DJ. Enjoy
Zuwena imo humu. Imewekwa mara kadhaa.Nahitaji nyimbo hizi, mwenye nazo please
- Inomaic & agalayi..msanii kutoka Uganda
- zuwena.. mr paul
- Jaguar ft Ay
- sirudi tena ft mabeste, jux
- miaka 6 sijazaa + nimpende nani
- elimu mtaani d'knob
- dakika 1
- ni wewe kwenye hii dunia, hard mard
Ndoa ya mateso uliorudiwa na Paulina Zongo nitashukuru hata kama ni audio
Mungu akubariki sana mkuu.Zuwena imo humu. Imewekwa mara kadhaa.
Kuna uzi flani upo humu nimeweka album ya Kalikawe hiyo nyimbo imoJustin kalikawe wanizungukao
NtapAtajeKuna uzi flani upo humu nimeweka album ya Kalikawe hiyo nyimbo imo
Amina bro. Sharing is caringMungu akubariki sana mkuu.
Tupiamo link bro. Nami nazitaka sana nyimbo za KalikaweKuna uzi flani upo humu nimeweka album ya Kalikawe hiyo nyimbo imo
Naufahamu huo uzi nashidwa ku attach apaKuna uzi flani upo humu nimeweka album ya Kalikawe hiyo nyimbo imo
copy jina lake uje paste hapaNaufahamu huo uzi nashidwa ku attach apa
Wakaenda wapi?Walioaga dunia
Huu ni wa Sugu au Balozi dolasoul?Natafuta Blah-Blah wa Sugu, mwenye nao please.
Ziggy D ENOMICNahitaji nyimbo hizi, mwenye nazo please
- Inomaic & agalayi..msanii kutoka Uganda