Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
MIMI NAOMBA WIMBO WA USHAURI NASAHA WA FID Q NA STAMINA
PIA WIMBO WA VIJANA JAZZ WA MWISHO WA MWEZI UNA MAMBO.
 
Kaka kama una wimbo wa Daz nundaz si ukumbuki vizuri ila nahisi kuna sehemu au mstari unasema HILI NI TANGAZO MAALUMU KWA DAZ KWANZA CHEKI CHEKI naomba msaada wa hyo nyimbo
Huu hapa man. Huu ndo unaanza na hilo tangazo toka kwa DJ. Enjoy
 

Attachments

Nahitaji nyimbo hizi, mwenye nazo please

- Inomaic & agalayi..msanii kutoka Uganda
- zuwena.. mr paul
- Jaguar ft Ay
- sirudi tena ft mabeste, jux
- miaka 6 sijazaa + nimpende nani
- elimu mtaani d'knob
- dakika 1
- ni wewe kwenye hii dunia, hard mard
Zuwena imo humu. Imewekwa mara kadhaa.
 

Attachments

Back
Top Bottom