Naomba nyimbo usikatae akikuita ya jd na wengine,pia nishike mkono ya jd na mad ice alafu na amri kumi za mungu ya dudu aka konki master
 
Aisee kuna wimbo fulani wa taarabu, huo wimbo anaucheza shoga fulani maarufu wa dar (Delisious) kwenye mitandao hasa whatsapp, siujui jina lake huo wimbo hata kundi lililoimba silijui, ila mdundo wake ndio naupenda, mwenye nao huo wimbo tafazali
 

Attachments

wakuu,
kwa mwenye wimbo wa chaupele mpenzi naomba auweke hapa

"chaupele mpenzi hayo usemayo kama ni maradhi yapele kwa daktari"
"waniambia niache rhumba na mimi sijazoea..........."
 
Mwenye nyimbo ya necessary noise sikumbuki jina ila kuna sehem wanajibizana wyre na naaziz wanasema neno Nairobi wanarudiarudia
 
kuna nyimbo fulan hv ya dini ya kitambo sn inaimba wakati wa nuhu, wanaimba " mvua ilianza kunyeshaa bila kukatikaa maji yaliendelea kuongezekaaa watu wakakumbuka maneno ya nuhuuu...."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…