Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nemo.- baby sema kama umekubali
Naitaka ile moss moss....ngoma kali kinyama..."haraka haraka haina barakaa"Anayo nyingine inaitwa 'slow'
Naitaka ile moss moss....ngoma kali kinyama..."haraka haraka haina barakaa"
Mkuu, naomba nyimbo za Justin KALIKAWE Album ya MV. Bukoba
Ukipata huo wa Jaydee nishtueNaomba nyimbo usikatae akikuita ya jd na wengine,pia nishike mkono ya jd na mad ice alafu na amri kumi za mungu ya dudu aka konki master
Poa mkuuUkipata huo wa Jaydee nishtue
Naomba nyimbo usikatae akikuita ya jd na wengine,pia nishike mkono ya jd na mad ice alafu na amri kumi za mungu ya dudu aka konki master
kuna kabinti binti kamenizingua...Kabinti-Bamboo/E sir
Mkuu kazileta zoteUkipata huo wa Jaydee nishtue