Nyimbo inaitwa rafiki - SumaleeMimi natafuta nyimbo mbili lakini sijui zinaitwaje na wala kaimba Nani.mmoja una kipengele kinaimbwa_ Mjini umekuja juzijuzi kwenu ulikuwa unafuga mbuzi.sikujua kuwa ni nuksi mpenzi umemkuwadia mdosi._mwingine kuna kipengele kiko hivi= Hoi hoi hoi mimi naliaa Hoi hoi hoi parapanda italia. Yaani nazitafuta sana
Wimbo sins ila unaitwa Kilimanjaro by innocent galinomaWakuu me natafuta nyimbo nadhan ni isaack galinomo,muimbaji wa raggae nyimbo ilikuw maudhui ya kuusifia mlima kilimanjaro ambae anao naomba
Daaa cjui hata niudownload VP manake audio tu ndo unaweza ila video version inasumbua
Wimbo unaitwa mimi nawe, kama sikosei ndani wanaimba " ewe lela ewe rose mimi nawe mpaka milele"Sidhani kama unaitwa asu ila kwenye hiyo album ambayo wimbo ASU upo ndipo ulipo huo wimbo nadhani unaittwa reila kama sikosei
Ha ha ninao ngoja nitauploadKuna wimbo unaimbwa penzi la ndoa ni tamu Caz t kashirikishwa- mwenyenao tafadhari.mwingine unaimbwa-ukiona panafuka moshi ujue pana moto
Au umemaanisha tamara ya hard mad?Mkuu alibakari kuna nyimbo sijui inaitwa "sambara" iliimbwa na mad ice kama unao fanya kuutupia na huo mkuu
Kifo hicho Kifo hicho hakikimbilikiiihiiii, imekuwa vita Marehemu angekimbia,x2, huu ombo huumba sana REDIO maria, uliimbwa Songea na Halimataya maarufu wa 1990s mama JOHN wa Lizaboni rip. Nahisi mdingi anayo pale home. Shida Ni kuihamishia toka kwenye tape.'Kifo hicho hakikimbiliki' cjui ni kwaya gani imeimba ni kawimbo kana hisia hivi, cjui ni ya songea!?
Ntashukuru sana mkuuHa ha ninao ngoja nitaupload
'Naomba unipende kama nilivyo mi msela' sikumbuki umeimbwa na nani