Natafuta wimbo wa Banana Zorro - Mapenzi gani. Tena nikipata instrumental itakua poa sana
 
Naomba Wimbo Edina, wa Kurugenzi jazz
Tedy Umefilisiwa, band siikumbuki
Mpenzi Nono, pia band siikumbuki
Isihaka wa OSS
Lady Champion, sina hakika na band Kama sio vijana uliimbwa na Washirika Tanzania Stars.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…