Jaman kuna wimbo aliimba mshiriki aliechukua bongo star search ,uyu mwanamke aliimba iyo siku amevaa kam kijeshi ivi ,dah niliupenda ule wimbo ila ndo sijui ni wa nan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu jirekodi kidogo tuskie labda tutaujua mkuu. Ahsante.
Dah mkuu mim nikiwa naimba kam naongea ivi

Inshort kwa aliekua anafuatilia atakua anajua kwan aliimba vizur saan na alivaa ki unique saaan,,,,nahitaj ule wimbo saan,yaan jina tu la wimbo na alieimba basi,zen kuupata ni president saan

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hata ukiongea haina shida kwa sisi wenye vibes za music tutakuwa tumeshajua ni wimbo gani unaouzungumzia mkuu.

Jirekodi japo kidogo kiongozi tuuskie tukusaidie kuupandisha hapa jukwaani mkuu. Thanks.
 
Hata ukiongea haina shida kwa sisi wenye vibes za music tutakuwa tumeshajua ni wimbo gani unaouzungumzia mkuu.

Jirekodi japo kidogo kiongozi tuuskie tukusaidie kuupandisha hapa jukwaani mkuu. Thanks.
Ha ha ha ha,mkuu kweli hunitakii mema wew,,

Afande sele kweny wimbo wa mtazamo alisema sio lazim wote tuimbe,wengine tubaki kuwa mashabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha,mkuu kweli hunitakii mema wew,,

Afande sele kweny wimbo wa mtazamo alisema sio lazim wote tuimbe,wengine tubaki kuwa mashabiki

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa afande hakumaanisha hivyo coz huo wako sio wimbo it's just an audio clip tu in order to let us know which song do you looking for...?

Kwa hiyo usiwe na wasi kiongozi tuma clip tukushushie ngoma hiyo mkuu. Thanks.
 
Ndugu, library zetu ni kubwa sana (nina 200GB+). Sometimes mtu asipoweka jina la wimbo ama jina la msanii ama bendi inakua ngumu sana kupata wimbo, unless uwe wimbo maarufu sana. Huwa tunajitahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu.
Huu wimbo ninaoutafuta ulipigwa na East African Melody ya kipindi hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wandugu mwenye hizi zilipendwa
1. Watasema watachoka Mimi nakupenda by Caz T

2. Sikutaka Og, not rmx Version by Unique Sisters

3.Wimbo Wa JD una maneno "Ninachofanya ni kukupenda,milele yote nitakupenda....." Nahisi upo album ya kwanza

4.Nikupe nini Mama Og version by Gk

5.Simulizi za ufasaha by Gangwe Mobb

NATANGULIZA SHUKURANI
 
hizi hatujaweka kweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…