Aisee, yaani huu ndo' imeshindikana kabisa kupatikana wajameni..!!?
CC KIOO
gwankaja
Idimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ngoma ilitoka miaka ya 96 au 97 na iliimbwa na East African Melody... sauti moja balaa yake Zuhura Bint Shaabani. Hakuna Tenda Hakuna Buzi ndo jina la nyimbo kuna mistari anasema "Umebeba begi watafuta buzi..mchezo gani huo, wa kurudi nyuma huo wa kuruka ukuta" nadhani na ndipo neno la kuruka ukuta lilipoanza....Nimekuelewa mkuu.
Huu wimbo ninaoutafuta ulipigwa na East African Melody ya kipindi hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hazijawekwa kabisa Mkuu huwa nafatilia sana kazi yenu nzuri humu makaka.hizi hatujaweka kweli..
Nimekuelewa mkuu.
Huu wimbo ninaoutafuta ulipigwa na East African Melody ya kipindi hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wandugu mwenye hizi zilipendwa
1. Watasema watachoka Mimi nakupenda by Caz T
2. Sikutaka Og, not rmx Version by Unique Sisters
3.Wimbo Wa JD una maneno "Ninachofanya ni kukupenda,milele yote nitakupenda....." Nahisi upo album ya kwanza
4.Nikupe nini Mama Og version by Gk
5.Simulizi za ufasaha by Gangwe Mobb
NATANGULIZA SHUKURANI
Hiyo ngoma ilitoka miaka ya 96 au 97 na iliimbwa na East African Melody... sauti moja balaa yake Zuhura Bint Shaabani. Hakuna Tenda Hakuna Buzi ndo jina la nyimbo kuna mistari anasema "Umebeba begi watafuta buzi..mchezo gani huo, wa kurudi nyuma huo wa kuruka ukuta" nadhani na ndipo neno la kuruka ukuta lilipoanza....
Sent using Jamii Forums mobile app
East African Melody ilikuwa imeanza miaka minne nyuma kaka....... pitia hii labda utajua!! Nipo shule in late 90s nimewasikiliza. Fahamu: Maisha na Muziki wa Haji Mohammed wa East African Melody | ZNZ_Zenji255EA MELODY haikuwepo hiyo miaka uliyotaja. Bendi maarufu za taarab miaka hiyo ni Muungano Cultural Troupe, Tanzania One theatre na wengine. Labda unaongelea 2006/2007
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikipata hizo mbili zilizobaki ambazo ni "Sikutaka" original version naZimepatikana hizo mkuu...
machungwa KIOO Idimi @ngwankinija na mkuu Times9 naomba mtupie taarabu moja matata ya East African Taarabu-Selelee kama sijakosea,kuna maneno nikumbatie mpenzi wangu kwenye wivu wajinyonge nini na nini sijui huko![emoji41] [emoji41] [emoji41]
Smart guy
Ha ha ha haya enjoy mkuu;machungwa KIOO Idimi @ngwankinija na mkuu Times9 naomba mtupie taarabu moja matata ya East African Taarabu-Selelee kama sijakosea,kuna maneno nikumbatie mpenzi wangu kwenye wivu wajinyonge nini na nini sijui huko!
Kwangu Mimi hii ni taarabu bora kabisa kuliko zote,vocals na production. Japo sipendi taarabu ila hii Mimi na RC Agrey Mwanri tumeisoma!!
Ha ha ha haya enjoy mkuu;
Ngoja nitalicheki kama lipoHabar za Leo mkuu.
Hivi una lile dude la kuamsha linaitwa "BAYEYE BAYEYE"??
Ngoja nikusaidie.Jaman kuna wimbo aliimba mshiriki aliechukua bongo star search ,uyu mwanamke aliimba iyo siku amevaa kam kijeshi ivi ,dah niliupenda ule wimbo ila ndo sijui ni wa nan
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nitalicheki kama lipo
Smart guy
Daah embu nikumbushe inawezekana ninalolifahamu nitofautiIla si ushalijua Mkuu??
#SmartGuy
Ni app moja inaitwa discdj
Nitumie kaka! Me natumiaga Sony Acid & Adobe Audition hizi program ni ngumu kishenzi [emoji16] japo zinaunda intros nzuri sana,,, Ila sijazi master vizuri...Ni app moja inaitwa discdj
Smart guy