barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ngoja niucheki online, nitaleta mrejesho soon.
Hapana, sio huu! Ila nashukuru kwa jitihada zako.Unaitwa Once you had gold Umeimbwa na Enya
Ni huyo huyo enya, unaitwa only timeHapana, sio huu! Ila nashukuru kwa jitihada zako.
Wenyewe yaani hata sijui niuelezee aje;
Kuna mahali kuna maneno sijui ya lugha gani kama yanasema; EUEEEE EUEEEEEE EUEEEEEEEE!!!
Kuna uwezekano aliimba huyu huyu Enya maana ndo mtindo wa nyimbo kama hiyo ulioniambia.
Unaitwa 'tuendelee ama tusiendelee' cleptoman xNa huu mwenye nao atuwekee, siujui jina ila jamaa anaimba
"Wanamangana Kila siku Kama mambuzi" ni mkenya huyu jamaa
Unaitwa Once you had gold Umeimbwa na Enya
Nakusubiri hapa uniambie
Baba Heri, YOU ARE THE BEST!Hapana, sio huu! Ila nashukuru kwa jitihada zako.
Wenyewe yaani hata sijui niuelezee aje;
Kuna mahali kuna maneno sijui ya lugha gani kama yanasema; EUEEEE EUEEEEEE EUEEEEEEEE!!!
Kuna uwezekano aliimba huyu huyu Enya maana ndo mtindo wa nyimbo kama hiyo ulioniambia.
Haya sasa barafu nitumie vocha ya 500Baba Heri, YOU ARE THE BEST!
NIMEUPATA, NIMEWAHI FUNGUA UZI HAPA KUTAFUTA HUU WIMBO HAKUNA ALIYENIJIBU! INGAWA WA AWALI ULIONIAMBIA HAUKUWA WENYEWE ILA BAADA YA KUUSIKILIZA HUO NIKAJUA HUU WIMBO NAOUTAFUTA LAZIMA KAIMBA HUYU ENYA, umenipa mwanga wapi pa kuanzia kuutafuta. NIMEKOMAA NAE YOUTUBE MPAKA FINALLY NIMEUPATA.
UBARIKIWE SANA, WIMBO HUU UNANIKUMBUSHA MBALI SANA MPAKA NATOA MACHOZI.
NASHUKURU SANA MKUU, JF OYEEEEE!
WIMBO UNAITWA ORINOCO FLOW (SAIL AWAY).
Hahahaaaa!Haya sasa barafu nitumie vocha ya 500
Manu Dibango - AfricaJamani natafuta ule wimbo unaopigwa redio Deutsche welle siku ya jumapili mchana kwenye makala ya Africa wiki hii!
Mtunzi/msanii aliyeuimba simfahamu, lakini kwa wafuatiliaji wa hiki kipindi huwa unapigwa mwanzoni na mwishoni mwa kipindi kama kibwagizo! Nakumbuka baadhi ya mashairi yake " oooooooh! Africa.... Oooooh Africa piavipambaaaa..….." Huko mbele siuwezi kuuimba vizuri hivyo Mwenye nao masaada please.
Nasikiliza nyimbo za Enya, dah, very relaxing and provoke deep thinking!!Haya sasa barafu nitumie vocha ya 500
Mkuu,hakuna wimbo nautafuta kama huo.Ushaupata?Mpiga debe- Rap Nature & Q chief
Natafuta wimbo unaitwa "hinde" plz plz