Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Ngoja niucheki online, nitaleta mrejesho soon.
Unaitwa Once you had gold Umeimbwa na Enya
Hapana, sio huu! Ila nashukuru kwa jitihada zako.
Wenyewe yaani hata sijui niuelezee aje;
Kuna mahali kuna maneno sijui ya lugha gani kama yanasema; EUEEEE EUEEEEEE EUEEEEEEEE!!!

Kuna uwezekano aliimba huyu huyu Enya maana ndo mtindo wa nyimbo kama hiyo ulioniambia.
 
Ni huyo huyo enya, unaitwa only time
 
Unaitwa Once you had gold Umeimbwa na Enya
Nakusubiri hapa uniambie
Hapana, sio huu! Ila nashukuru kwa jitihada zako.
Wenyewe yaani hata sijui niuelezee aje;
Kuna mahali kuna maneno sijui ya lugha gani kama yanasema; EUEEEE EUEEEEEE EUEEEEEEEE!!!

Kuna uwezekano aliimba huyu huyu Enya maana ndo mtindo wa nyimbo kama hiyo ulioniambia.
Baba Heri, YOU ARE THE BEST!
NIMEUPATA, NIMEWAHI FUNGUA UZI HAPA KUTAFUTA HUU WIMBO HAKUNA ALIYENIJIBU! INGAWA WA AWALI ULIONIAMBIA HAUKUWA WENYEWE ILA BAADA YA KUUSIKILIZA HUO NIKAJUA HUU WIMBO NAOUTAFUTA LAZIMA KAIMBA HUYU ENYA, umenipa mwanga wapi pa kuanzia kuutafuta. NIMEKOMAA NAE YOUTUBE MPAKA FINALLY NIMEUPATA.
UBARIKIWE SANA, WIMBO HUU UNANIKUMBUSHA MBALI SANA MPAKA NATOA MACHOZI.
NASHUKURU SANA MKUU, JF OYEEEEE!
WIMBO UNAITWA ORINOCO FLOW (SAIL AWAY).
 
Haya sasa barafu nitumie vocha ya 500
 
Jamani natafuta ule wimbo unaopigwa redio Deutsche welle siku ya jumapili mchana kwenye makala ya Africa wiki hii!
Mtunzi/msanii aliyeuimba simfahamu, lakini kwa wafuatiliaji wa hiki kipindi huwa unapigwa mwanzoni na mwishoni mwa kipindi kama kibwagizo! Nakumbuka baadhi ya mashairi yake " oooooooh! Africa.... Oooooh Africa piavipambaaaa..….." Huko mbele siuwezi kuuimba vizuri hivyo Mwenye nao masaada please.
Manu Dibango - Africa
 
Natafuta nyimbo hizi 'Roho ya Korosho' na 'Ningekuwa na Mabawa'. Zote za Marehemu Justin Kalikawe.
 
Wimbo wa Neck Breakers Kidogo tu...

Nataka niseme mi aah kidogo tuu..
Bruuu kidogo tuu...

Verse ya 1
Ajuaye kupigana havui shati wala fulana..
Na hii ni kipaji kwa wenye vipaji
Katuni rhymes sasa basi...
 
Kuna wimbo wa bongo flava uliimbwa na jamaa simkumbuki jina ila ulikuwa na chorus hii;-

Nashangaa mchana twajuana usiku...
Usiku twakabana...masela maasela!!

Huu wimbo haukuvuma sana lkn ni bonge la ngoma na huyu msanii sidhani kama alitoa wimbo mwingine.

Na mwingine ni Mzee mwenye nyumba uliimbwa na jamaa wale walioimba yamenikuta walimshirikisha 2proud(sugu)

Tafadhali bandugu...naziomba.
 
Natafuya wimbo wa

Yvone chakachaka-bombani.

Nyanyao-

AWakawakawa(uliimbwa na cjui wazimbabwe)

Ntarudi.
 
Back
Top Bottom