Umeomba wimbo gani??

Sent using Jamii Forums mobile app

Niliomba nyimbo mbili ila sijapata hata mmoja


1.Version mpya ya T.O.T ya Khadija kopa ya ccm mbele kwa mbele, umo ndani anamtaja spika Tulia

2. Wimbo wa taarabu jina siujui ila upo kwenye clips moja ya dogo shoga anajiita delisious, amejifunga kutenge anakatika mpaka chini, kama vile walikuwa kwenye sebule fulani hivi

Naziomba mwenye nazo
 
Mbegu zingine zilianguka kwenye udongo mzuri.
Ni kwaya ya RC BUTIMBA miaka ya 2004 kama sikosei.
Ni albamu iliyokuwa na nyimbo zingine kama:-
1.Waandishi na Mafarisayo
2.Nipe Biblia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nilisahau hii
Naiomba tafadhali

Fid Q_ I am professional.


Shukran.
 
Naomba wimbo unaitwa wivu wameimba wale mapacha wawili Christian Sheggy na Eddy Sheggy
 

Attachments

Natafuta wimbo wa msanii anaitwa MZINDU MZALI Jina la wimbo YATIMA

Mkorintho wa 6
 
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965

Mimi siku nyingi sana natafuta nyimbo zifuataz:

1. Wimbo wa Salim Ahmed Salim, ulipigwa miaka ya mwanzoni ya 90, wakati mheshimiwa huyu akiwa Katibu Mkuu wa OAU, una maneno mazuri sana ya kumpongeza. Ulipigwa na kundi la Zaita Muzika, la akina Supreme Ndalakasheba. Una maneno baadhi yake yanasema "Aee aee Afrika aee, OAU itashinda, Salim Ahmed Salim, dua zetu zikufikie aee...."


2. Natafuta pia nyimbo za kwaya ya Iringa, album yao ilikuwa inajulikana kama KUNDI LA NZIGE


Nitafurahi sana kama kuna mtu ata-acknowledge kwa kunipatia nyimbo hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…