KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Habar wakuu
Naomba nyimbo ya
T.I.D_Nipe nafasi, original sio rmx
Shukran.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habar wakuu
Naomba nyimbo ya
T.I.D_Nipe nafasi, original sio rmx
Shukran.
Wakuu nilisahau hii
Naiomba tafadhali
Fid Q_ I am professional.
Shukran.
Natafuta instrumental flani ivi ya hip hop wanapendelea sana kuitumia kwenye freestyle battle nying but kama kunazingine unaweza kushusha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli ashindwe yeye tu.Ushindwe Wewe Tu. (U.W.T)
Gangwe mobb- chorus wanaimba ....
Hii ndo life ya uswazi x2
Maisha passport size x2
Sent using Jamii Forums mobile app
KONKI👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽
Mkuu wimbo wa BAD BAKULE AKIWA PAMOJA NA PAULINE ZONGO NA ABDUL MISAMBANO nadhani unaitwa mambo huyawezi.. wakati wako TOT PLUS BAND..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965