Huu hapa. EnjoyGangwe mobb- chorus wanaimba ....
Hii ndo life ya uswazi x2
Maisha passport size x2
Sent using Jamii Forums mobile app
Anzia hapa...
Ukweli lady jaydee na mwana FHuu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Ukweli lady jaydee na mwana F
Vidole wa kali P
Wanapendana mwana Fa na dulysykes
Sent using Jamii Forums mobile app
Una nyimbo ya tamia ft fabulous inaitwa in to you ... kama unao nitumie aiseeAnzia hapa...
Asante mkuu kama una za boby Marley shusha[emoji1420][emoji1420][emoji1420][emoji1420][emoji1420]
EnjoyUna nyimbo ya tamia ft fabulous inaitwa in to you ... kama unao nitumie aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya kazi kwakoKuna wimbo unaitwa
Peke yangu naona bora peke yangu, sina kitu kwao sithaminiki.
Sijui kaimba nani. Ila nautafuta sana. Old skul bongo fleva
EnjoyHabar wakuu.
Naomba hizi ngoma.
1.Dogo janja ft tunda man_Anajua
2.Dogo janja ft Godzilla_Mtoto wa uswazi.
Shukran wakuu.
gwankaja
Idimi
Kioo
Machungwa
Enjoy
Samahani mkuu nimepekua na kupekua makabrasha nikaambulia patupuWakuu nimeomba wimbo wa GITA msanii anaitwa NANI sijaupata mpaka Leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafanyia kazi kweli kweli maana hizi nyimbo za dansi huwa ngumu kidogo kuzipata..Natumai bado utakuwa unafanyiwa kazi mkuu.
Mimi na team yangu yote tukiupata hatutasita kuuweka hapa.
Thanks a lot.
Hiyo ya Kaka Man ni Aisha au Angela?