Mku au unamuongelea Chicco ngoma inaitwa 'I need some money'. Ni kwaito moja iv old school kali kutoka bondeni!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau mwenye nyimbo Kati ya hizi
=Awilo wa mbeya-Ee dada
=Y.p & Y.dash ft Hussein machozi-Tupo chimbo
=Muungano cultural troupe-Mambo yako huku
 
Wadau mwenye nyimbo Kati ya hizi
=Awilo wa mbeya-Ee dada
=Y.p & Y.dash ft Hussein machozi-Tupo chimbo
=Muungano cultural troupe-Mambo yako huku

Mkaka, nimekuwekea tupo chimbo, hiyo ya Taarab Mambo yapo huku ina 23 MB inagoma ku upload.
Jamani mbona mie wimbo wangu wa shangingi/buzi limewekwa chini hamtaki kuniwekea!!!!
 

Attachments

Attachments

[emoji848] [emoji848] [emoji848] Haujaung'amua?

We mkaka utakua unaongelea moja kati ya hizi. Mie kwaito na flash kwangu ndio umefika
Sikia basi, namie nitafutie taarab inaitwa "Buzi limewekwa chini shangingi analichuuna"
 

Attachments

Mkuu miliomba msaada wa nyimbo ya Afande Sele ft Lady E uitwao #Umeondoka

Mkaka sijui kama umeshaupata huu wimbo, kama bado basi copy nyingine hii hapa.
Huyu Lady Issa kaimba kwa hisia sana. Enjoy.
 

Attachments

Iba wa Hassan rehan bitchuka

Sent using Jamii Forums mobile app

we mkaka, huu hapa wimbo kama bado hujaupata. Leo baba debo kaenda night shift.
ameimba Bitchuka, gitaa la solo yupo ndala kasheba, rythm kasimama komandoo hamza kalala.
Jamani bado natafuta wimbo wa "buzi limewekwa chini shangingi analichuuna"
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…