Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Angalia bandiko langu hapo juu unipe msaada tafadhali.
Asante sana kiongozi. Welcome bro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kiongozi. Welcome bro.
Usisahau mkuu kama utafanikiwa kuujua.Asante sana kiongozi. Welcome bro.
naona umenipa na ka nyongeza mkuu...!!
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Haujaung'amua?Yes bro...! Feel The Vibes.
HATARI SANA MKUU.Yes bro...! Feel The Vibes.
Natafuta wimbo wa dully sykes TAMIKA
Asante bro,ule wa jump jump vipiNyimbo za salehe jabiri.
Opp
Jump
Na nyingine ambazo nimezisahau,mwenye nazo anisaidie jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
KIOO.
Kipindi nikiwa mtoto kuna wimbo mzee wangu alikuwa anapenda sana kuusikiliza ila nakumbuka kwa mbali sana mashairi ya ile wimbo (nadhani ule wimbo ni wa bondeni) kama hauutwi "Somebody" basi ni bahati, maana ndilo neno lilikuwa linazungumzwa sana mle.
Yale mashairi yalikuwa kama hivi, endapo nitakosea basi mwenye kuujua anisaidie.
I need somebody to love me
I need somebody to hold me x2.
Everyday, everynight. Everday in more.
I need.x2
Sauti ya mwanamke mmoja hivi baada ya hapo linafuatia biti moja dah ule wimbo sijui unaitwaje.
Msaada wakuu.
Wadau mwenye nyimbo Kati ya hizi
=Awilo wa mbeya-Ee dada
=Y.p & Y.dash ft Hussein machozi-Tupo chimbo
=Muungano cultural troupe-Mambo yako huku
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Haujaung'amua?
Ahsante sana mpenziMdada mambo, mie ninazo hizi chache sema zina vibe la kutosha.
Namie nitafutie wimbo wa taarab "buzi limewekwa chini shangingi analichuuuna"
Mkuu miliomba msaada wa nyimbo ya Afande Sele ft Lady E uitwao #Umeondoka
Naomba msaada wimbo wa juma nature_sherehe unatoka kwenye album ya hakuna kulala