Nyimbo za oliva ngoma please

Sent using Jamii Forums mobile app

Mdada mambo tena, nyimbo za zouk/lingala/roumba kwangu umefika.
Baba Debo leo kaenda night shift, nakesha peke yanguuuu.
Namie nitafutie wimbo wa taarab "buzi limewekwa chini shangingi analichuuuna"
 

Attachments

Please nitumie kwa wasap

Sent using Jamii Forums mobile app

we mkaka mambo, mie zangu hazina hayo ma MB sijui 20, enjoy.
karibu home kwangu mbezi goba uoshe macho.
namie nitafutie wimbo wa "buzi limewekwa chini shangingi analichuuna" taarab ya zaman kidogo
 

Attachments

Bana Congo tosimbana maboko nautafuta sana huu wimbo.

Sent using Jamii Forums mobile app
we kaka unaamanisha huu wa Defao akiwa na kundi zima la BIG STARS ama
namie nitafutie wimbo wa "buzi limewekwa chini shangingi analichuuna" taarab ya zaman kidogo
 

Attachments

Natafuta wimbo wa "Nkurukumbi Nkurukumbi niyo yazaile mainda..."

Uliimbwa na Band moja ya Taarabu/Mipasho ikiwa na makazi yake mjini/jijini Mwanza miaka ya nyuma kidogo...

Kama ulikua bado hujaupata.
namie nitafutie wimbo wa "buzi limewekwa chini shangingi analichuuna" taarab ya zaman kidogo
 

Attachments

Wakuu sana natafuta wimbo wa muziki wa dansi ambao melody yake (hasa kwenye chorus) ni kama hivi:

we mkaka, huu hapa wimbo wako, babu yangu alikua anaweka anaanza kucheza huku amelewa kimpumu.
namie nitafutie taarab ya buzi limewekwa chini shangingi analichuuna
 

Attachments

We mkaka utakua unaongelea moja kati ya hizi. Mie kwaito na flash kwangu ndio umefika
Sikia basi, namie nitafutie taarab inaitwa "Buzi limewekwa chini shangingi analichuuna"
Habar mama debora.
Mama debora naomba hizo kwaito zenye vibe kama lote.
Niwekee Hata folder zima
Yaani Kama zoteee
Ntashkur sana mama debora
Maana ndo ugonjwa wangu huo.


#MamaDebora
 
Kuna kama movie lakini wanarap kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa hiyo movie.Ndani pana KRS ONE na majamaa wengine.Mwenye kuifahamu walau jina tu anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
narudi nyuma kidogo natafuta ngoma hizi

Mida bado-dullayo(prod.marco chali)

Peter kapita-tunda man

Acha party iendelee-g solo(prod.marco chali) studio kama kawa record
 
narudi nyuma kidogo natafuta ngoma hizi

Mida bado-dullayo(prod.marco chali)

Peter kapita-tunda man

Acha party iendelee-g solo(prod.marco chali) studio kama kawa record
 

Attachments

Zanzibar ooh zanzibar [emoji444][emoji445] beautiful island of Africa...[emoji445][emoji445][emoji444][emoji445] ooh zanzibar!!!

Nautafuta sana huu wimbo bila mafanikio naombeni msaada wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…