milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,166
Pamoja Kaka ngoja nisubiri shukraniHuo wa Complex sina, naamini KIOO atauweka. Nakuwekea wa Madilu.
Huo wa Complex sina, naamini KIOO atauweka. Nakuwekea wa Madilu.
Cc milangomitatu.Mkuu una wimbo wa complex hakuna hatari na Madilu system LeAu unitupie?wewe na Kioo nawaaminia
Sent using Jamii Forums mobile app
Msanii anaitwa E-man upo you you tubeHabari.
Huu wimbo Ni wakitambo sana.
Msanii simfahamu ila nyimbo naijua.
"Kuna vitu vinazinguazingua aaaahhh
Wewe farida wewe nahisi baridi
Umenichoma sindano ya mapenzi ooohhh
Wewe farida jamaa imani nakuhitaji"
Dude linaitwa FARIDA.
Gwankaja
Kioo
Idimi
Machungwa
Times9
Nauomba tafadhali wakuu.
Mkuu Fanya mpango wa ngoma ya
Kazi kwakoHabari.
Huu wimbo Ni wakitambo sana.
Msanii simfahamu ila nyimbo naijua.
"Kuna vitu vinazinguazingua aaaahhh
Wewe farida wewe nahisi baridi
Umenichoma sindano ya mapenzi ooohhh
Wewe farida jamaa imani nakuhitaji"
Dude linaitwa FARIDA.
Gwankaja
Kioo
Idimi
Machungwa
Times9
Nauomba tafadhali wakuu.
Sorry dada yangu nimejarib kudownload ila imegoma naomba nikupe namba yang dm unitumie whatsap samahan lakinwe mkaka, huu hapa wimbo kama bado hujaupata. Leo baba debo kaenda night shift.
ameimba Bitchuka, gitaa la solo yupo ndala kasheba, rythm kasimama komandoo hamza kalala.
Jamani bado natafuta wimbo wa "buzi limewekwa chini shangingi analichuuna"
Huu hapa. EnjoyMkuu Fanya mpango wa ngoma ya
E man_farida
Original vision
Shukran
Kwa kuwa umeteka za kitambo, anza na hizi. EnjoyHabari wakuu, naomba ngoma za Ali Kiba za nyuma kdg,
"Single boy
My everything na nyingine pls
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebanaaa eeeee daaahHuu hapa. Enjoy
Amsha amsha chama la wanaaaaaaaaaaaKwa kuwa umeteka za kitambo, anza na hizi. Enjoy
Ee Tuma uo uo..Mkuu wa stamina Na fid nnao Unaitwa wazo LA Leo Sijui ndo huo, ila kuupandisha ndo siez
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba km nurukheri umetutoka Baba ngoma Sugu hili gameKwa kuwa umeteka za kitambo, anza na hizi. Enjoy
Wadau naisubir hii nyimbo kwa mwenye anayo!!!!Naomba wimbo wa remmy ongala unaoitwa shida na wewe, tafadhali kwa mwenye nao!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu hapa. Enjoy