Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

Attachments

Habari.

Huu wimbo Ni wakitambo sana.
Msanii simfahamu ila nyimbo naijua.

"Kuna vitu vinazinguazingua aaaahhh
Wewe farida wewe nahisi baridi
Umenichoma sindano ya mapenzi ooohhh
Wewe farida jamaa imani nakuhitaji"

Dude linaitwa FARIDA.



Gwankaja
Kioo
Idimi
Machungwa
Times9

Nauomba tafadhali wakuu.
Msanii anaitwa E-man upo you you tube

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari.

Huu wimbo Ni wakitambo sana.
Msanii simfahamu ila nyimbo naijua.

"Kuna vitu vinazinguazingua aaaahhh
Wewe farida wewe nahisi baridi
Umenichoma sindano ya mapenzi ooohhh
Wewe farida jamaa imani nakuhitaji"

Dude linaitwa FARIDA.



Gwankaja
Kioo
Idimi
Machungwa
Times9

Nauomba tafadhali wakuu.
Kazi kwako
 

Attachments

we mkaka, huu hapa wimbo kama bado hujaupata. Leo baba debo kaenda night shift.
ameimba Bitchuka, gitaa la solo yupo ndala kasheba, rythm kasimama komandoo hamza kalala.
Jamani bado natafuta wimbo wa "buzi limewekwa chini shangingi analichuuna"
Sorry dada yangu nimejarib kudownload ila imegoma naomba nikupe namba yang dm unitumie whatsap samahan lakin

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Back
Top Bottom