1.Anaringa ringa wameimba kama sijakosea walioimba kibababa
2.Mtu mwembamba ft Dully sykes-Nilipojua kisoma ama kweli ilikuwa noma mtaani walikoma
3.Kingwendu -Maharage mboga ya matunda hiyo ya kingwendu nilikuwa nao baada ya ku restore ukafutika sasa hivi nautafuta bila mafanikio sijaupata please msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mwenye nyimbo za bendi moja ya dance iliimba nyimbo km shangingi ameniacha hoi na mbio za sakafuni huishia ukikongoni.Nakumbuka enzi hizo sisi tulikuwa tunaiita kata kiu ya dance ila sidhani km hilo ndilo jina halisi la bendi hio.
 
Kuna nyimbo nimeisikia toka week iliyopita Clouds Fm ina maneno... "siku nikifumba macho" Yaalah..Yaalah!! Naomba kujua ameimba nani na kama mtu anayo basi aitupie hapa jukwaani Please....!! Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wimbo unaitwa Paulina - Les Wanyika
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…