Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
1.Anaringa ringa wameimba kama sijakosea walioimba kibababa
2.Mtu mwembamba ft Dully sykes-Nilipojua kisoma ama kweli ilikuwa noma mtaani walikoma
3.Kingwendu -Maharage mboga ya matunda hiyo ya kingwendu nilikuwa nao baada ya ku restore ukafutika sasa hivi nautafuta bila mafanikio sijaupata please msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mwenye nyimbo za bendi moja ya dance iliimba nyimbo km shangingi ameniacha hoi na mbio za sakafuni huishia ukikongoni.Nakumbuka enzi hizo sisi tulikuwa tunaiita kata kiu ya dance ila sidhani km hilo ndilo jina halisi la bendi hio.
 
Kuna nyimbo nimeisikia toka week iliyopita Clouds Fm ina maneno... "siku nikifumba macho" Yaalah..Yaalah!! Naomba kujua ameimba nani na kama mtu anayo basi aitupie hapa jukwaani Please....!! Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa waliofatilia bongo star search mwaka huu kuna mshiriki anaitwa Asagwile aliimba Les Wanyika ile sina makosa harafu mbeleni akaimba maneno haya"japo ndugu zako hawanitaki naomba picha yako ooh Zella" hayo maneno yapo kwenye wimbo gani wakuu.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wimbo unaitwa Paulina - Les Wanyika
 

Attachments

Back
Top Bottom