Hii ni aibu yao njoo tu dance kwa pamoja,usijishitukie solazima kulipuka

Song la Jebby RIP

cc KIOO Idimi
 
Msaada mwenye vile vingoma vya taarifa ya habari radio Tanzania enzi hizo naomba jamani

Na ile ya majira ya kipindi kile naomba

Na ile bomu bomu bomu eeehh hajaiona nyota ya kijani zindukaa

Msaada wapendwa
 
 

Attachments

Waungwana nimeomba wimbo Madaraka ya Jikoni - Mackei Fanta akiwa na nina muzika Naombeni msaada Please ni muda sasa nautafuta
 
Kuna wimbo wanaimba "nasi tulikubali kwa maisha yote ya raha hata shida, iwe kwa dhiki magonjwa na raha tulikubali...." ni bongo fleva mwenye nayo atupie plz
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kitambo sana ,zile ngoma za RTD mida ha taarifa ya habari na kipindi cha michezo na majira zilipigwa na Mzee Morris Nyunyusa alikua kipofu
Msaada mwenye vile vingoma vya taarifa ya habari radio Tanzania enzi hizo naomba jamani

Na ile ya majira ya kipindi kile naomba

Na ile bomu bomu bomu eeehh hajaiona nyota ya kijani zindukaa

Msaada wapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…